Makala

[1,951]
Toleo 296
Mwandishi Wetu
[1,792]
Toleo 296
Mwandishi Wetu
MAPAMBANO dhidi ya rushwa yanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwamo usalama na haki za raia wema ambao kwa kutambua madhara ya rushwa, hushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU)
[1,286]
Toleo 296
Kitila Mkumbo
LILIANZA kama kero, lakini sasa suala la faida za gesi linalowakang’anya wananchi wa Mtwara na serikali limeanza kuwa tatizo kubwa la kitaifa, linalotishia kubomoa kabisa utamaduni wa kutatua matatizo kwa amani kulikozoeleka miongoni wa Watanzania
[1,212]
Toleo 296
Shaban Kaluse
Tunaendelea na sehemu ya pili kuhusu kesi na mikasa kwa mtekaji nyara watoto  Marc Dutroux.
[1,062]
Toleo 296
Ahmed Rajab
WIKI nzima iliyopita mamia ya Waafrika walimiminika Addis Ababa, Ethiopia. Wengi walikwenda kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) ambao miaka 12 iliyopita uliuzaa Muungano wa Afrika(AU).
[934]
Toleo 296
Jenerali Ulimwengu
MOJAWAPO ya matatizo makubwa na ya msingi yanalolikabili Taifa letu ni kutokuwa na uendelevu katika mitazamo yetu, na tatizo hili nimekuwa nikilijadili mara kwa mara. Kwamba hatujalifanyia kazi kama jamii ni kielelezo cha tatizo lenyewe, kwa sababu bado hatujaliona kwamba ni tatizo
[932]
Toleo 296
Maggid Mjengwa
MAREHEMU Profesa Chachage anasema; “Haitoshi kabisa kulifahamu jambo. Kuambiwa ni habari tu, unaambiwa na unafahamu, unajua kwamba tukio fulani limetokea.
[781]
Toleo 296
Joseph Mihangwa
BUNGE ni mhimili mkuu wa demokrasia nchini ambalo kazi yake kuu ni kutunga Sheria pamoja na kuratibu mahusiano kati ya wananchi na Serikali yao waliyoiweka madarakani kwa kuhakikisha kuwa Serikali hiyo inatekeleza matakwa yao
[661]
Toleo 296
Privatus Karugendo
JUZI nilipanda daladala kutoka Posta kwenda Ubungo (Dar es Salaam, safari ya dakika 15 lakini nilitumia saa mbili. Tatizo ni msongamano mkubwa wa magari barabara ya Morogoro.
[549]
Toleo 296
Hidaya
‘Hujamsikia Waziri wa Elimu.  Hizi simu za shetani marufuku kabisa shuleni.  Atazunguka mwenyewe kila shule na akimkuta mwanafunzi anayo simu ataichoma moto.’
[4,341]
Toleo 295
Simon Mwalwimle
KATI ya taarifa kubwa za kimataifa kuhusu Bara la Afrika, zilizotolewa wiki iliyopita ni ziara ya pili ya Rais Baraka Hussein Obama wa Marekani katika nchi za Tanzania, Rwanda, Afrika Kusini na labda Nigeria ikitegemea hali ya usalama nchini humo
[3,310]
Toleo 295
Paul Sarwatt
WAKATI Chama cha Mapinduzi  (CCM) kikisuasua kuzindua kampeni zake za uchaguzi  mdogo wa udiwani kwa kata nne za Jiji la Arusha, mahasimu wao wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezindua kwa kishindo  kampeni za uchaguzi huo kwa kuibua tuhuma nzito za ufisadi na matumizi mabaya ya fedha katika Halmashauri ya Jiji.
[2,618]
Toleo 295
Jenerali Ulimwengu
NALAZIMIKA kurejea mada yangu ya muda mrefu, mada inayojadili jinsi tunavyofanya mambo kama watu wa kupita huku tukishindwa kuangalia masafa marefu kama Taifa linaloamini kwamba litakuwapo hapa hapa kwa muda mrefu.
[2,445]
Toleo 295
Ahmed Rajab
SIDHANI kama kuna atayeshangaa akikiona Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaangushwa katika uchaguzi ujao wa 2015.  Uwezekano wa CCM kwenda kapa 2015 ni mkubwa endapo uchaguzi wa mwaka huo hautokuwa na magube
[1,970]
Toleo 295
Mwandishi Wetu
VATICAN City State au kwa kifupi Vatican, ni nchi yenye haki ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi yoyote.

Pages