Makala

[1,057]
Toleo 288
Mwandishi Wetu
KUMBUKUMBU zangu zinaonyesha ya kwamba wakati wa sakata la kutoroshwa kwa wanyama hai nje ya nchi kwa kutumia ndege ya kijeshi ya Jeshi la Qatar, kelele nyingi zilipigwa
[890]
Toleo 288
Maggid Mjengwa
NAANDIKA haya kuweka msisitizo wa nilichopata kuandika kuhusiana na Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Duniani mwanadamu anapaswa kujifunza kutoka kwa jirani yake. Kwa yanayotokea kwa jirani zetu Kenya, tuna ya kujifunza, lakini nahofia tumejitia upofu. Hatutaki kuyaona wala kujifunza
[712]
Toleo 288
Ncheme Nchicheme?
SASA ncheme nchicheme? Lakini ngoja tu ncheme. Ni kuhusu mkulu wetu wa Magogoni – jijini Dar es Salaam, Jakaya Kikwete na Afande wake enzi za JKT, Afande Ubwabwa
[656]
Toleo 288
Hidaya
Tumefanya nini hadi tuangukiwe na majengo na vifusi hivyo? Inauma sana! Tena naomba uangalie sana lile ghorofa karibu na kibanda chako mpenzi. Nakumbuka stori zako wakati lilipokuwa likijengwa
[608]
Toleo 288
Privatus Karugendo
WAKATI tunasherehekea Sikukuu ya Pasaka na ufufuko wa Yesu wa Nazareti, wakati chuki kati ya Waislamu na Wakristu inaanza kuwa kubwa kiasi cha watu kuogopa kwenda makanisani wakiogopa kushambuliwa kwa mabomu
[350]
Toleo 288
Mwandishi Wetu
WAKATI Sheria ya Ununuzi ya Umma Na. 21 ya mwaka 2004 na Kanuni za Manunuzi ya Umma za mwaka 2005, pamoja na kanuni za Bodi za Zabuni za Serikali za Mitaa zinatoa mamlaka kwa Kamati ya Fedha ya Halmashauri kukagua utekelezaji wa miradi na mali zilizopokelewa ndani ya halmashauri husika, ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, hali ni tofauti
[3,645]
Toleo 287
John Daniel
HILI limenisikitisha! Kwa hakika siwezi kukaa kimya bila kushika kalamu yangu kuwasiliana na maelfu ya wasomaji wa gazeti hili la Raia Mwema.
[1,902]
Toleo 287
Msomaji Raia
SAFU hii iliwahi kuandika na kushauri kuwa Serikali ikitaka kudanganya umma juu ya jambo fulani, isimtumie Kamanda Suleiman Kova wa Kanda Maalumu ya Kipolisi ya Dar es Salaam
[1,621]
Toleo 287
Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye, amesema matokeo mabaya ya kidato cha nne kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na serikali yenyewe
[1,497]
Toleo 287
Mwandishi Wetu
Atikisa dunia siku 10 tu akiwa Ikulu. Mkewe ni Meja Jenerali na mwanamuziki anayetabiriwa kung’ara kama Michelle Obama
[1,388]
Toleo 287
Jenerali Ulimwengu
Hadi sasa rai yangu imekuwa kwamba hatuna budi kujifunza kujenga mitazami ya mbali, mitazamo inayotia maanani kwmaba sisi si wageni hapa, siis si watu wa kupita, sisi ni watu wa kudumu na tumedhamiria kuwa tutaendelea kuishi hapa kwa muda mrefu ujao, hata miaka milioni ijayo, kizazi kimoja kikikirisha kizazi kifuatacho nchi iliyo bora kuliko kilichoirithi chenyewe
[1,267]
Toleo 287
Kitila Mkumbo
Wiki iliyopita Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, alikaririwa akiwananga wabunge wa Afrika Mashariki kwa kushindwa kuhudhuria vikao vinavyoandaliwa na wizara hiyo kwa kutaka kwanza wahakikishiwe kulipwa posho
[1,246]
Toleo 287
Mwandishi Wetu
SIKU taktiban 10 tu baada ya kuingia Ikulu ya China, Rais Xi Jinping, anatajwa kuweza kuchuana na Rais Obama, katika orodha ya viongozi mashuhuri, wenye nguvu na ushawishi duniani
[1,098]
Toleo 287
Mwandishi Wetu
MWAKA 2000, Rais Benjamin Mkapa, alifanya mahojiano na Shirika la Habari la China, Xinhua, kabla ya kusafiri kuelekea Beijing kushiriki mkutano wa kwanza wa ushirikiano kati ya China na Afrika, uliofanyika Oktoba 10 hadi 12, 2000.
[944]
Toleo 287
Privatus Karugendo
KWETU sisi, ukombozi wa kifikra ndio suluhisho pekee, na la msingi, ili hatimaye tujikomboe kijamii, hususan katika utamaduni, siasa, uchumi, utafiti na maendeleo ya kiteknolojia. Pasipo kujinasua katika mwelekeo wa fikra (mindset) si rahisi jamii yetu kuwa na maendeleo katika nyanja yoyote ile. Tutabaki na ujinga na kuishia utumwani

Pages