[720]
Toleo 289
Hidaya
Wewe ni kundi gani la madhehebu gani ya dini gani? Baada ya wewe kuniambia haya, na mimi nitakuambia niko katika kundi gani, au hata kakijitukundi gani ndani ya madhehebu gani ya dini gani.
[5,395]
Toleo 288
Johnson Mbwambo
WIKI iliyopita niliandika kuhusu climate change na ujio nchini mwetu wa Rais Xi Jinping wa China na jinsi watawala walivyoupapatikia kana kwamba nd
[2,986]
Toleo 288
Ahmed Rajab
Uamuzi wa kuhitimisha malalamiko yaliyofikishwa mbele ya Mahakama Kuu ya kutaka kumzuia Uhuru asiingie Ikulu imekuwa pigo kubwa kwa Raila
[2,962]
Toleo 288
Lula wa Ndali Mwananzela
YAPO maajabu na yapo yanayoshangaza. Ukiyakuta yote mawili kwa wakati mmoja unaweza kuwa katika hali ya kuchukizwa
[2,649]
Toleo 288
Joseph Mihangwa
UBAGUZI na upendeleo katika utawala wa nchi, ni sumu inayoweza kuangamiza Taifa sawia. Ndiyo maana Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano ya 1977, Ibara ya 13 (2) chini ya kifungu cha “Haki ya Usawa,”
[1,548]
Toleo 288
Evarist Chahali
NIANZE makala hii kwa kutoa salamu zangu za pole kwa Watanzania waliokumbwa na janga la kuangukiwa na jengo la ghorofa zaidi ya 10 jijini Dar es Salaam, Ijumaa iliyopita
[1,512]
Toleo 288
Msomaji Raia
Rais wetu ameendeleza utamaduni wa kulalamika kama wakristo wanavyolalamika, waislam wanavyolalamika na hata wasaidizi wake wanavyolalamika. Hii ni Jamhuri ya Muungano wa kulalamika!
[1,369]
Toleo 288
Kitila Mkumbo
JUMAMOSI ya Machi 30, 2013, Jamhuri ya Kenya ilihitimisha mchakato wa Uchaguzi Mkuu kwa Mahakama Kuu ya nchi hiyo kuhalalisha ushindi wa Uhuru Kenyatta
[1,214]
Toleo 288
Godfrey Dilunga
Ni wakati wa kuiga adhabu za kijeshi katika hizi taaluma ambazo sasa zinaelekea kugeuka janga kitaifa
[1,122]
Toleo 288
Jenerali Ulimwengu
KAMA ilivyo ada, nami nalazimika kujumuika na wote walioguswa na zahma ya kuporomoka kwa jengo kubwa katikati ya Jiji la Dar es Salaam na kuua binadamu kadhaa. Nami natoa rambirambi kwa wote waliopotelewa na ndugu na wana wao, na pia pole kwa wale wote waliopoteza mali zao katika mkasa huo
[1,097]
Toleo 288
Mwandishi Wetu
KUMBUKUMBU zangu zinaonyesha ya kwamba wakati wa sakata la kutoroshwa kwa wanyama hai nje ya nchi kwa kutumia ndege ya kijeshi ya Jeshi la Qatar, kelele nyingi zilipigwa
[924]
Toleo 288
Maggid Mjengwa
NAANDIKA haya kuweka msisitizo wa nilichopata kuandika kuhusiana na Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Duniani mwanadamu anapaswa kujifunza kutoka kwa jirani yake. Kwa yanayotokea kwa jirani zetu Kenya, tuna ya kujifunza, lakini nahofia tumejitia upofu. Hatutaki kuyaona wala kujifunza
[772]
Toleo 288
Ncheme Nchicheme?
SASA ncheme nchicheme? Lakini ngoja tu ncheme. Ni kuhusu mkulu wetu wa Magogoni – jijini Dar es Salaam, Jakaya Kikwete na Afande wake enzi za JKT, Afande Ubwabwa
[684]
Toleo 288
Hidaya
Tumefanya nini hadi tuangukiwe na majengo na vifusi hivyo? Inauma sana! Tena naomba uangalie sana lile ghorofa karibu na kibanda chako mpenzi. Nakumbuka stori zako wakati lilipokuwa likijengwa
[646]
Toleo 288
Privatus Karugendo
WAKATI tunasherehekea Sikukuu ya Pasaka na ufufuko wa Yesu wa Nazareti, wakati chuki kati ya Waislamu na Wakristu inaanza kuwa kubwa kiasi cha watu kuogopa kwenda makanisani wakiogopa kushambuliwa kwa mabomu