MIGOMO na vurugu zote zinazotokea duniani kote hazisababishwi na wananchi; bali husababishwa na viongozi wasio waadilifu wanaodhani kwamba nafasi walizonazo, vyeo walivyonavyo, madaraka waliyonayo ni nyenzo za kujinufaisha badala ya nafasi ya kuwatumikia wananchi waliowaweka madarakani
Polls
- Je umeridhika na marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba yaliyopitishwa? - 92 votes - open
- Madaktari wanavyoendesha mgomo wao wako sahihi? - 285 votes - closed
- Miaka 50 ya Uhuru: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele? - 754 votes - closed
- Ni sahihi Rais Kikwete alivyosaini Muswada wa Mabadiliko ya Katiba? - 192 votes - closed
- Je ni sahihi CHADEMA kujitoa Bungeni na kutoshiriki mjadala wa muswada wa Katiba? - 445 votes - closed
- "Kujivua Gamba" kunafanikiwa ndani ya Chama cha Mapinduzi? - 303 votes - closed