Permalink Submitted by MBITI YA SONGO (not verified) on Tue, 2012-05-15 23:20.
1.Wengi wao umri wao umegota juu, hivyo na wasiwasi na mfumo wenyewe wa kukusanya maoni kama utahusisha kusafiri ili kufikia watoa maoni, basi hawataweza kuhimili uchovu, hii itatelemsha efficiency.
2. Ni wateule wa rais, hivyo wanaweza wakawa siyo wakweli kwa kiasi fulani
MIGOGORO ya ardhi kati ya wananchi na wawekezaji inakua kwa kasi na kuchukua sura mpya nchini. Anapokuja ‘mgeni’ kwa jina la ‘mwekezaji’, matendo ya serikali yetu yanapingana na msemo usemao ‘mgeni njoo mwenyeji apone’; bali inakuwa ‘mgeni njoo mwenyeji atabike
Halima Mdee na ardhi
Maoni ya Wasomaji
Hakika ni ushirikana kuishi maisha kwa bahati nasibu! Kwa sisi tunayemuamini Mwenyenzi Mungu, ni kwamba ametuwekea kanuni za maisha!
Comments
1.Wengi wao umri wao umegota
1.Wengi wao umri wao umegota juu, hivyo na wasiwasi na mfumo wenyewe wa kukusanya maoni kama utahusisha kusafiri ili kufikia watoa maoni, basi hawataweza kuhimili uchovu, hii itatelemsha efficiency.
2. Ni wateule wa rais, hivyo wanaweza wakawa siyo wakweli kwa kiasi fulani
Add new comment