WATU tunaafikiana na wazo lakini mawazo ambayo waziwazi ni ya kijinga lazima tuyakatae. Mtu mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbavu, usipoyakataa, anakudharau. Narudia hilo; mtu yeyote mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbavu na wewe una akili na unajua ni ya kipumbavu na unayakubali, anakudharau. Sasa, hatuwezi tukakubali mambo ya kipumbavu Tanzania
Ayub Rioba

Dkt.
Ayub Rioba
Dkt. Ayub Rioba ni mwanasafu wa muda mrefu wa Raia Mwema na ni mhadhiri katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Maandiko 141 ya Ayub Rioba yanapatikana kwenye tovuti.
Makala
Toleo na 134
Wasomaji 218
Maoni 0
Makala
Toleo na 160
Wasomaji 208
Maoni 0
Pages
Walipata Kunena
-
Nyerere na upumbavu Tanzania
Maoni ya Wasomaji
-
Hii serikali kweli haina huruma na haidhamini wananchi wake. inaelekea GPSA imetekwa na mafisadi papa ambao wanataka kuwanyima fursa wafanya biashara wenye mitaji midogo kujiendeleza.5 hours 51 minYametolewa maoni mengine 1