TULIPOPATA wazo hilo la kuwa na shule zetu, tulimfuata Mwalimu Nyerere nyumbani kwake Butiama. Wakati huo alikuwa hajaoa na tulimkuta akifyatua matofali kwa mikono. Mimi nilikuwa na maofisa wangu, wajumbe wa bodi ya ushirika wetu. Tulimfuata Mwalimu kumuomba awe mkuu wa shule ambayo tungeianzisha
Walipata Kunena
-
Paul Bomani na elimu
Maoni ya Wasomaji
-
KWA NINI WAIALAMU HAWASIKILIZWI, MAONI YAO HAYAJAPEWA NAFASI KWENYE RASIMU YA KATIBA. TUNATAKA MAPUNZIKO IJUMAA, MAHAKAMA YA KADHI NA NCHI KUJIUNGA NA OIC2 days 1 hourYametolewa maoni mengine 1