KAMA uhuru humpatia binadamu jambo lolote kubwa na la maana, basi, jambo hilo ni haki ya kumwambia mtu yeyote yule kile ambacho hapendi kukisikia au kuambiwa
George Orwell na uhuru
Maoni ya Wasomaji
Huyu Salmin ni kweli alikuwa mbabe sana, nadhani ndiye mwenye rekodi ya ubabe kati ya marais wa zanzibar waliotangulia.