HOFU, nionavyo, ni kitu kibaya kuliko vyote maishani. Kwa hakika, hofu na woga ni vitu vidhalilishavyo mtu na hata taifa kushinda vingine vyote. Huwa vina kawaida ya kumfanya mtu kuwa katili
Walipata Kunena
-
Nehru, hofu na woga
Maoni ya Wasomaji
-
Hii serikali kweli haina huruma na haidhamini wananchi wake. inaelekea GPSA imetekwa na mafisadi papa ambao wanataka kuwanyima fursa wafanya biashara wenye mitaji midogo kujiendeleza.12 hours 45 minYametolewa maoni mengine 1