UNATAKA kujua jina langu? Ninaitwa Ilich Ramirez Sanchez. Nilizaliwa Caracas, Venezuela, Oktoba 12, 1949. Unataka kujua taaluma yangu? Mimi ni mtaalamu wa mapinduzi (professional revolutionary). Unataka kujua ni raia wa nchi gani? Sikiliza, mimi ni raia wa dunia lakini kama unataka kujua anuani yangu ya mwisho, ni Khartoum, Sudan
Walipata Kunena
-
Carlos na uraia wa dunia
Maoni ya Wasomaji
-
Kama kuna demokrasia ya haki, haipaswi mtu yeyote awe juu ya sheria . let spoon be a spoon and folk be a folk period. Katiba ya ccm inasishia hapo tutakapopata mupya.14 hours 34 minYametolewa maoni mengine 1
