KUNA uhuru wa kutosumbuliwa na njaa, maradhi, na umasikini. Kuna uhuru wa mtu binafsi; yaani haki yake ya kuishi, akiheshimika sawa na wengine wote, uhuru wake wa kusema na uhuru wake wa kushiriki katika uamuzi wa mambo yote yanayogusa maisha yake, na uhuru wa kutokamatwa ovyo na kutiwa ndani kwa kuwa tu kamuudhi mkubwa, japo kama haku-vunja sheria yo yote. Yote hayo ni mambo yanayohusu uhuru, na hatuwezi kusema kuwa wananchi wa Tanzania ni huru, mpaka tuwe tuna hakika kwamba wanao uhuru wa mambo yote hayo
Walipata Kunena
-
Nyerere na uhuru wa kweli
Maoni ya Wasomaji
-
Kama kuna demokrasia ya haki, haipaswi mtu yeyote awe juu ya sheria . let spoon be a spoon and folk be a folk period. Katiba ya ccm inasishia hapo tutakapopata mupya.21 hours 3 minYametolewa maoni mengine 1