Ni wajibu wetu kufufua hadhi yetu, kupandikiza demokrasia... kuheshimu haki za binadamu na uhuru wa kujieleza, kuweka misingi ya kufufua uchumi...mifumo bora zaidi ya kisheria na masharti thabiti yanayoshinikiza kuwapo kwa chaguzi huru na wa haki
Pérez de Cuéllar na haki
Maoni ya Wasomaji
Huyu Salmin ni kweli alikuwa mbabe sana, nadhani ndiye mwenye rekodi ya ubabe kati ya marais wa zanzibar waliotangulia.