KILA mtu anaweza kukasirika – hilo ni jambo rahisi; lakini kumkasirikia mtu sahihi na kwa kiwango sahihi na kwa muda sahihi na kwa sababu sahihi na kwa njia sahihi – hilo si jambo rahisi, na si kila mtu anaweza hivyo
Walipata Kunena
-
Aristotle na kukasirika
Maoni ya Wasomaji
-
Jamani kama ni kutoa maoni basi toeni kwa kiswahili. Kiingereza gani alichotumia kutoa maoni huyo hapo juu!!! Huo ni ujuha. Kuhusu matokeo, nadhani serikali imelenga kufurahisha wapiga kura.1 day 7 hoursYametolewa maoni mengine 3
