Lugha yangu ya utoto, hata sasa nimekua,
Tangu ulimi mzito, sasa kusema najua,
Ni sawa na manukato, moyoni mwangu na pua,
Pori bahari na mto, napita nikitumia,
Titile mama litamu, jingine halishi hamu