KAMA ni lazima na muhimu kumjeruhi binadamu mwenzako kwa sababu yoyote ile, ni vyema umjeruhi sana kiasi kwamba ulipizaji kisasi kwake ni jambo lisilowezekana kabisa, na hivyo lisilopaswa kuhofiwa
Machiavelli na visasi
Maoni ya Wasomaji
Huyu Salmin ni kweli alikuwa mbabe sana, nadhani ndiye mwenye rekodi ya ubabe kati ya marais wa zanzibar waliotangulia.