KAMA ambavyo Weupe (Wazungu) wanapaswa kusaidiwa kutambua kuwa wao ni binadamu tu kama wengine na si watu maalumu, vivyo hivyo Weusi (Waafrika) wanapaswa pia kusaidiwa kuelewa kuwa wao ni binadamu kama binadamu wengine na si watu dhalili
Steve Biko na ‘Black Power’
Maoni ya Wasomaji
Ndugu mwandishi wa habari hii, nakuomba uje ujibu hizi hoja zilizowekwa hapa juu ya habari yako.