KAMA kuna ndoto juu ya Afrika ya Kusini iliyo nzuri na ya amani na neema, basi, bila shaka, kuna barabara za kutufikisha huko na kuifanya ndoto hiyo kuwa kweli. Barabara mbili kati ya hizo zinazoweza kutufikisha huko naweza kuziita ‘Upendo’ na ‘kusameheana’. Ni barabara mbili muhimu mno kwetu
Walipata Kunena
-
Madiba na njia mbili
Maoni ya Wasomaji
-
Makala yako kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe. Ila naona kama umekosea kuutaja ubalozi wa Vatican kama taasisi badala ya nchi.15 hours 26 minYametolewa maoni mengine 5
