WAPO wanaosema nimezeeka. Mimi nawaambia kuwa uzee siyo sifa na wala ujana siyo sifa. Hivi Januari (mwanaye) unaweza kumpa kazi ya Katibu Mkuu? Kinachoangaliwa hapa ni uwezo na si mengine. Wengine wanasema sina uzoefu, lakini unapata wapi uzoefu? Kitu cha msingi ni uwezo, na mimi uwezo ninao
Walipata Kunena
-
Makamba na uzee
Maoni ya Wasomaji
-
Somo lako nimelielewa sana mzee wangu ULIMWENGU;unachokisema sio kigeni hata kidogo masikioni mwa hawa watawala wetu,lakini imekua kila siku unazungumza wanazungumza tunazungumza lakini hawa wanaot10 hours 10 minYametolewa maoni mengine 5
