HEKIMA ndiyo zawadi kubwa ambayo mtu hupata baada ya miaka mingi ya kukubali kuwa msikilizaji mzuri, na hivyo kukishinda kishawishi cha kuwa mzungumzaji mkubwa
Walipata Kunena
-
Doug Larson na hekima
Maoni ya Wasomaji
-
Jamani kama ni kutoa maoni basi toeni kwa kiswahili. Kiingereza gani alichotumia kutoa maoni huyo hapo juu!!! Huo ni ujuha. Kuhusu matokeo, nadhani serikali imelenga kufurahisha wapiga kura.1 day 4 hoursYametolewa maoni mengine 3
