NI ujinga kutegemea pesa kama chombo cha maendeleo wakati tunafahamu vyema kwamba nchi yetu ni masikini. Lakini ni ujinga zaidi kufikiria kwamba tutajikomboa kutoka kwenye umasikini wetu kwa kutegemea misaada ya kigeni badala ya juhudi zetu wenyewe
Nyerere, pesa na misaada
Maoni ya Wasomaji
Huyu Salmin ni kweli alikuwa mbabe sana, nadhani ndiye mwenye rekodi ya ubabe kati ya marais wa zanzibar waliotangulia.