WAKATI komredi yule kijana, Yoweri Museveni, alipofanya makosa, sikudiriki kumkosoa hadharani, lakini kwa hili la kukataza wengine wasijitokeze kugombea urais, siwezi kukaa kimya. Komredi Museveni, achia wengine wajitokeze kuchuana na wewe katika uchaguzi wa rais
Walipata Kunena
-
KK na ‘komredi’ Museveni
Maoni ya Wasomaji
-
Ndugu mwandishi wa habari hii, nakuomba uje ujibu hizi hoja zilizowekwa hapa juu ya habari yako.13 hours 5 minYametolewa maoni mengine 7
