HULKA ya wazi kabisa ya Waafrika ni kusahau haraka uonevu wanaofanyiwa. Utawala wa kikoloni ulimfunga kikatili Jomo Kenyatta kwa kosa la kuanzisha Mau Mau, na hata kumuita ‘kiongozi wa giza na muuaji’; lakini baada ya kuachiwa huru, yeye alisamehe yote, na hata kuandika kitabu kinachoitwa Suffering Without Bitterness
Walipata Kunena
-
Profesa Mazrui na Waafrika
Maoni ya Wasomaji
-
Kama kuna demokrasia ya haki, haipaswi mtu yeyote awe juu ya sheria . let spoon be a spoon and folk be a folk period. Katiba ya ccm inasishia hapo tutakapopata mupya.14 hours 48 minYametolewa maoni mengine 1
