KIPIMO sahihi cha mtu jasiri si namna misimamo yake ilivyo nyakati za raha na furaha; bali ni misimamo yake ilivyo nyakati za matatizo, huzuni, taabu na nyakati za changamoto kubwa nyingi
Martin Luther na ungangari
Maoni ya Wasomaji
Makala yako kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe. Ila naona kama umekosea kuutaja ubalozi wa Vatican kama taasisi badala ya nchi.