KULAZIMIKA kumchukulia hatua rais wa nchi ni mkasa na balaa kwa nchi yoyote ile. Ndiyo maana tunatakiwa kuwateua na kuwachagua marais wetu kwa uangalifu mkubwa, na ndiyo maana wakisha kuchaguliwa wanatakiwa kujiheshimu na kuwa waangalifu sana
Walipata Kunena
-
Nyerere na rais hovyo
Maoni ya Wasomaji
-
Jamani kama ni kutoa maoni basi toeni kwa kiswahili. Kiingereza gani alichotumia kutoa maoni huyo hapo juu!!! Huo ni ujuha. Kuhusu matokeo, nadhani serikali imelenga kufurahisha wapiga kura.1 day 6 hoursYametolewa maoni mengine 3
