WALE viongozi wa Dubai walilipa fedha kweli, lakini haikulipwa kwangu binafsi. Fedha hiyo ililipwa moja kwa moja wizarani, sikuipokea mimi. Ilikuwa ni msaada kwa ajili ya kupambana na ujangili. Tulipewa pia magari 15 aina ya Landrover Defender
Ngasongwa na Defender
Maoni ya Wasomaji
Jamani kama ni kutoa maoni basi toeni kwa kiswahili. Kiingereza gani alichotumia kutoa maoni huyo hapo juu!!! Huo ni ujuha. Kuhusu matokeo, nadhani serikali imelenga kufurahisha wapiga kura.