MARA nyingi sana nimesema nanyi juu ya umasikini, ujinga na maradhi, lakini kwa kweli adui yetu mkubwa ni umasikini. Tukiweza kumshinda adui huyu, tutakuwa tumeweza kupata silaha itakayotuwezesha kuushinda ujinga na maradhi
Walipata Kunena
-
Nyerere na maadui watatu
Maoni ya Wasomaji
-
Hapa kitu kinachonishangaza mbona hapo Loiliondo kuna makampun mengi ya uwindaji ya wazungu hayatajwi wala kulalamikiwa?au hapa mie naona kama kuna Propaganda fulani imeanzishwa na hao wazungu ili7 hours 51 minYametolewa maoni mengine 2