UNAJUA Mzee Karume (mumewe) alipokuwa hai alikuwa hataki masuala ya fedha na sarafu kuwa ya Muungano. Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kumtuma Waziri wake wa Fedha, Amir Jamal kuja Zanzibar lakini Mzee Karume alikataa kutoa fedha za Zanzibar kwenda Bara kwenye Benki Kuu
Walipata Kunena
-
Mama Karume na pesa
Maoni ya Wasomaji
-
KWA NINI WAIALAMU HAWASIKILIZWI, MAONI YAO HAYAJAPEWA NAFASI KWENYE RASIMU YA KATIBA. TUNATAKA MAPUNZIKO IJUMAA, MAHAKAMA YA KADHI NA NCHI KUJIUNGA NA OIC2 days 9 hoursYametolewa maoni mengine 1