Chama changu kinatambua msingi kwamba katika kuunda serikali ni lazima kuongozwa na dhamira inayotanguliza maslahi ya taifa kuliko maslahi ya chama pekee. Kwa hiyo, naendelea kuzungumza na kiongozi wa Zanu -PF, Komredi Joshua Nkomo, ili tuunde serikali ya umoja wa kitaifa