Bara letu la Afrika lina utajiri mkubwa wa asili. Ni jukumu la vyuo vikuu kutoa mafunzo ambayo yatawasaidia wanafunzi kutatua matatizo mbalimbali yanayolikabili bara hili. Mafunzo na utafiti unaofanywa na vijana wetu wa vyuo vikuu ni lazima ulingane na mazingira ya Afrika
Walipata Kunena
-
Rais Tolbert na elimu Afrika
Maoni ya Wasomaji
-
Makala yako kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe. Ila naona kama umekosea kuutaja ubalozi wa Vatican kama taasisi badala ya nchi.10 hours 52 minYametolewa maoni mengine 5
