HIVI mtakwenda kuwaambia wananchi wasichape kazi maana mmepata mjomba wasiwe na wasiwasi? Mjomba huyo ni nani? Mimi nitafurahi kumwona. Mimi nitakwenda kumuona, lakini sitamuuliza lolote. Halafu mkinionyesha ndiye huyu mjomba, nitacheka!
Nyerere na kuchapa kazi
Maoni ya Wasomaji
Huyu Salmin ni kweli alikuwa mbabe sana, nadhani ndiye mwenye rekodi ya ubabe kati ya marais wa zanzibar waliotangulia.