Hatari moja ya kuendelea kumchagua mtu yule yule kipindi hata kipindi huweza kuleta hofu na wasiwasi nchini. Mabadiliko ni lazima yaje, maana hata kiongozi anayechaguliwa kwa maisha hatima yake atakwenda, maana uhai una mwisho
Nyerere na mabadiliko
Maoni ya Wasomaji
mbona hueleweki? unajikanyagakanyaga, si useme tu pointi yako? kama vip omba msaada kwa MBWAMBO siyo unatuletea makala ambayo haileleweki.