UNATAKA kujua jina langu? Ninaitwa Ilich Ramirez Sanchez. Nilizaliwa Caracas, Venezuela, Oktoba 12, 1949. Unataka kujua taaluma yangu? Mimi ni mtaalamu wa mapinduzi (professional revolutionary). Unataka kujua ni raia wa nchi gani? Sikiliza, mimi ni raia wa dunia lakini kama unataka kujua anuani yangu ya mwisho, ni Khartoum, Sudan