KAMA mnavyojua nilikuwa Ghana na Nigeria. Matembezi hayo yamenikumbusha tena uzito wa mzigo (uhuru) tulioanza kuubeba. Tutawezaje ndugu zangu kuubeba mzigo huu? Tunaweza kuubeba kwa kuonyesha mfano tu, mfano wa taifa lenye umoja kamili, lenye nia moja tu ya kujenga taifa letu kwa manufaa ya watu wake wote
Walipata Kunena
-
Nyerere na utaifa
Maoni ya Wasomaji
-
Hapa kitu kinachonishangaza mbona hapo Loiliondo kuna makampun mengi ya uwindaji ya wazungu hayatajwi wala kulalamikiwa?au hapa mie naona kama kuna Propaganda fulani imeanzishwa na hao wazungu ili17 hours 4 minYametolewa maoni mengine 2