NI jambo la kushangaza kidogo kwamba viongozi wetu wanaona kuwa ni kosa kuwakumbusha kuwa vyeo walivyo navyo ni dhamana. Wanadhani kuwa uwaziri ni usultani; ukishakuwa sultani utakufa ukiwa sultani. Nadhani wanaofikiria hivyo wanakosea sana
Walipata Kunena
-
Nyerere na wanaoringia uwaziri
Maoni ya Wasomaji
-
Makala yako kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe. Ila naona kama umekosea kuutaja ubalozi wa Vatican kama taasisi badala ya nchi.6 hours 49 minYametolewa maoni mengine 5
