Machi 11 - 17, 2009
 
Toleo No. 72

   Habari Mpya  
Dk. Slaa awataka Duni, Hamad Rashid wa CUF
BAADA ya mgombea Urais kupitia CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa, kubadili upepo wa kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, chama hicho sasa kimo katika mkakati mahususi wa kumpata mgombea mwenza mwenye ushawishi mkubwa kutoka CUF...
 Makala Mpya

Tufuate Azimio la Zanzibar au Azimio la Arusha?
Na Deusdedit Jovin
TANGU kuzaliwa kwa taifa letu, Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, alisanifu "KANUNI YA UTANZANIA", kanuni ambayo ilifafanuliwa zaidi kupitia Azimio la Arusha...

Kwa nini CCM inahofia demokrasia?
Na Lula wa Ndali-Mwananzela
KING Majuto alimpenda binti wa mtaa fulani lakini alishindwa kwenda na kumwambia juu ya hisia zake hizo. Alibakia akimwangalia kwa mbali tu na kuwaza na kumfikiria....

TANZANITE: Fursa iliyopotea!
SEHEMU nyingi nchini mtu anayeshona nguo ama mpya au kuweka viraka katika nguo za zamani, anaitwa fundi cherehani. Ulipata kujiuliza kwa nini waliitwa fundi cherehani?...
 
 
free counter

counters