Februari 3 - 9, 2010
 
Toleo No. 119

   Habari Mpya  
Jino kwa jino CUF, CCM na CHADEMA
WAKATI vumbi la kampeni likiendelea kutimka, Chama Cha Wananchi (CUF) kimelalamikia mwenendo wa kampeni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), malalamiko yanayohusisha kauli za vyama hivyo na matumizi ya fedha...
 Makala Mpya

Mbeya wampa matumaini Kikwete
MATARAJIO ya walio wengi ilikuwa kushuhudia mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, (CCM) Jakaya Kikwete akikabiliwa na upinzani kutoka kwa wananchi wakati wa kampeni mkoani Mbeya...

CCM Arusha: Kama Fiesta
UZINDUZI wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Arusha Mjini uliofanyika mwishoni mwa wiki ulikuwa kama tamasha maarufu la muziki la "Fiesta"...

Tusilaumu mabondia, uzalendo hauliwi
Na Chesi Mpilipili
KWENYE orodha ndefu ya watu wanaopaswa kuwambwa msalabani kutokana na sakata la kuiaibisha nchi kwa timu ya taifa kushindwa kushiriki michuano ya kimataifa ambayo ndio mwenyeji, mabondia wa timu yetu ya taifa hawapaswi kuwemo...
 
 
free counter

counters