Februari 3 - 9, 2010
 
Toleo No. 119

   Habari Mpya  
Jino kwa jino CUF, CCM na CHADEMA
WAKATI vumbi la kampeni likiendelea kutimka, Chama Cha Wananchi (CUF) kimelalamikia mwenendo wa kampeni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), malalamiko yanayohusisha kauli za vyama hivyo na matumizi ya fedha...
 Makala Mpya

Tusilaumu mabondia, uzalendo hauliwi
Na Chesi Mpilipili
KWENYE orodha ndefu ya watu wanaopaswa kuwambwa msalabani kutokana na sakata la kuiaibisha nchi kwa timu ya taifa kushindwa kushiriki michuano ya kimataifa ambayo ndio mwenyeji, mabondia wa timu yetu ya taifa hawapaswi kuwemo...

Uchaguzi wa wabunge: Tuchague ujana wa moyo dhidi ya umri
Na Godfrey Dilunga
VYAMA vya siasa, hasa vinavyoaminika kuwa na nguvu ya kisiasa nchini vimepania kupata idadi kubwa ya wabunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu...

Arcado Dennis Ntagazwa: Yatima mlala njaa na mchunga mbuzi aliyegeuka kigogo kitaifa
Mwandishi Wetu, Godfrey Dilunga, alifanya mahojiano na Arcado Dennis Ntagazwa ambaye amehama CCM kwenda CHADEMA na kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Muhambwe, Kigoma...
 
 
free counter

counters