Februari 3 - 9, 2010
 
Toleo No. 119

   Habari Mpya  
Jino kwa jino CUF, CCM na CHADEMA
WAKATI vumbi la kampeni likiendelea kutimka, Chama Cha Wananchi (CUF) kimelalamikia mwenendo wa kampeni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), malalamiko yanayohusisha kauli za vyama hivyo na matumizi ya fedha...
 Makala Mpya

TANROADS katika mgogoro mpya
MRADI wa Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia-Msata, ambao umepewa jina la 'ng'ombe wa maziwa' umeingia katika mgogoro mpya...

CCM Arusha: Kama Fiesta
UZINDUZI wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Arusha Mjini uliofanyika mwishoni mwa wiki ulikuwa kama tamasha maarufu la muziki la "Fiesta"...

Kagame: Wa nje hawataki kuamini maendeleo ya Rwanda
Yafuatayo ni mahojiano ambayo Jenerali Ulimwengu alimfanyia Rais Kagame wa Rwanda aliyepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo hivi karibuni...
 
 
free counter

counters