Machi 10 - 16, 2010
 
Toleo No. 124

   Habari Mpya  
Jino kwa jino CUF, CCM na CHADEMA
WAKATI vumbi la kampeni likiendelea kutimka, Chama Cha Wananchi (CUF) kimelalamikia mwenendo wa kampeni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), malalamiko yanayohusisha kauli za vyama hivyo na matumizi ya fedha...
 Makala Mpya

Kwa nini hofu ya upadre wa Dk. Slaa haina msingi
Na Lula wa Ndali-Mwananzela
KWA muda mrefu sasa vyombo kadhaa mbalimbali vya habari na watu binafsi vimekuwa vikieneza habari kuwa Dk. Wilibroad Slaa ni Padre hadi leo hii kama walivyo mapadre wengine...

Mrisho Mpoto; Watanzania tunakufa kwa roho chafu!
Na Maggid Mjengwa
JUZI hapa nilipata bahati ya kusafiri na Mrisho Mpoto. Safari yetu ilianzia Iringa kwenda Njombe. Tulikuwa na saa tatu pamoja kujadili masuala juu ya jamii yetu...

Kagame: Wa nje hawataki kuamini maendeleo ya Rwanda
Yafuatayo ni mahojiano ambayo Jenerali Ulimwengu alimfanyia Rais Kagame wa Rwanda aliyepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo hivi karibuni...
 
 
free counter

counters