Machi 10 - 16, 2010
 
Toleo No. 124

   Habari Mpya  
Jino kwa jino CUF, CCM na CHADEMA
WAKATI vumbi la kampeni likiendelea kutimka, Chama Cha Wananchi (CUF) kimelalamikia mwenendo wa kampeni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), malalamiko yanayohusisha kauli za vyama hivyo na matumizi ya fedha...
 Makala Mpya

Kagame: Wa nje hawataki kuamini maendeleo ya Rwanda
Yafuatayo ni mahojiano ambayo Jenerali Ulimwengu alimfanyia Rais Kagame wa Rwanda aliyepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo hivi karibuni...

Arcado Dennis Ntagazwa: Yatima mlala njaa na mchunga mbuzi aliyegeuka kigogo kitaifa
Mwandishi Wetu, Godfrey Dilunga, alifanya mahojiano na Arcado Dennis Ntagazwa ambaye amehama CCM kwenda CHADEMA na kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Muhambwe, Kigoma...

Pasua kichwa ya Umeya Mwanza
Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiendelea kushika kasi, joto la kisiasa katika Jiji la Mwanza haliishii tu kushinda udiwani kwa tiketi ya CCM bali pia nafasi ya Umeya wa Jiji...
 
 
free counter

counters