Machi 10 - 16, 2010
 
Toleo No. 124

   Habari Mpya  
Jino kwa jino CUF, CCM na CHADEMA
WAKATI vumbi la kampeni likiendelea kutimka, Chama Cha Wananchi (CUF) kimelalamikia mwenendo wa kampeni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), malalamiko yanayohusisha kauli za vyama hivyo na matumizi ya fedha...
 Makala Mpya

Kagame: Wa nje hawataki kuamini maendeleo ya Rwanda
Yafuatayo ni mahojiano ambayo Jenerali Ulimwengu alimfanyia Rais Kagame wa Rwanda aliyepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo hivi karibuni...

Zanzibar kujitangaza nchi imevunja Katiba? [2]
Na Joseph Mihangwa
“...Ni Serikali moja ya Muungano yenye madaraka kwa mambo kadhaa tu na kwa maeneo kadhaa ya Muungano. Zaidi ya hayo panaweza kuwa na Serikali (dola) nyingine zenye mamlaka yake na kwa mujibu wa Katiba zake, na si kutoka Serikali kuu hata kidogo...”...

CCM Arusha: Kama Fiesta
UZINDUZI wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Arusha Mjini uliofanyika mwishoni mwa wiki ulikuwa kama tamasha maarufu la muziki la "Fiesta"...
 
 
free counter

counters