Julai 28 - Agosti 3, 2010
 
Toleo No. 144

   Habari Mpya  
Jino kwa jino CUF, CCM na CHADEMA
WAKATI vumbi la kampeni likiendelea kutimka, Chama Cha Wananchi (CUF) kimelalamikia mwenendo wa kampeni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), malalamiko yanayohusisha kauli za vyama hivyo na matumizi ya fedha...
 Makala Mpya

Kwa nini hofu ya upadre wa Dk. Slaa haina msingi
Na Lula wa Ndali-Mwananzela
KWA muda mrefu sasa vyombo kadhaa mbalimbali vya habari na watu binafsi vimekuwa vikieneza habari kuwa Dk. Wilibroad Slaa ni Padre hadi leo hii kama walivyo mapadre wengine...

TANROADS katika mgogoro mpya
MRADI wa Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia-Msata, ambao umepewa jina la 'ng'ombe wa maziwa' umeingia katika mgogoro mpya...

Arcado Dennis Ntagazwa: Yatima mlala njaa na mchunga mbuzi aliyegeuka kigogo kitaifa
Mwandishi Wetu, Godfrey Dilunga, alifanya mahojiano na Arcado Dennis Ntagazwa ambaye amehama CCM kwenda CHADEMA na kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Muhambwe, Kigoma...
 
 
free counter

counters