Julai 28 - Agosti 3, 2010
 
Toleo No. 144

   Habari Mpya  
Jino kwa jino CUF, CCM na CHADEMA
WAKATI vumbi la kampeni likiendelea kutimka, Chama Cha Wananchi (CUF) kimelalamikia mwenendo wa kampeni wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), malalamiko yanayohusisha kauli za vyama hivyo na matumizi ya fedha...
 Makala Mpya

TANROADS katika mgogoro mpya
MRADI wa Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia-Msata, ambao umepewa jina la 'ng'ombe wa maziwa' umeingia katika mgogoro mpya...

Tusilaumu mabondia, uzalendo hauliwi
Na Chesi Mpilipili
KWENYE orodha ndefu ya watu wanaopaswa kuwambwa msalabani kutokana na sakata la kuiaibisha nchi kwa timu ya taifa kushindwa kushiriki michuano ya kimataifa ambayo ndio mwenyeji, mabondia wa timu yetu ya taifa hawapaswi kuwemo...

Kagame: Wa nje hawataki kuamini maendeleo ya Rwanda
Yafuatayo ni mahojiano ambayo Jenerali Ulimwengu alimfanyia Rais Kagame wa Rwanda aliyepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo hivi karibuni...
 
 
free counter

counters