Makoloni yana Uhuru wa kusherehekewa?

TUMESHUHUDIA mambo yalivyokuwa wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika. Kama ilivyo kawaida katika sherehe zote za namna hii, sherehe hizi nazo hazikuwa na kitu chochote kuhusu mantiki ya neno Uhuru. Katika maadhimisho hayo, tulishuhuda mazoezi ya kijeshi na

Hatuhitaji kashfa mpya Kigamboni

HATIMAYE utiaji saini kati ya pande husika, kuashiria kuanza kwa mradi wa ujenzi wa daraja la kuvuka Bahari ya Hindi, kati ya eneo la Kigambano na Magogoni jijini Dar es Salaam, umefanyika

Huu ni mwaka wa wanahabari kuzibwaga sheria za ovyo ovyo

KADRI mwaka 2011 ulivyomalizika, ndivyo 2012 ulivyoanza na kujibainisha kwa wadau mbalimbali hapa nchini. Mwaka 1994 nilipokuwa mhariri wa gazeti machachari la kiuchunguzi la Motomoto, nilikumbana na mambo mawili makubwa ambayo kama sio ujasiriwa kitaaluma kuwa “publish and be damned” na “we shall meet in

Ubabe uliozoeleka kutumika tena? IV

KATIKA sehemu ya tatu ya makala haya toleo lililopita, tuliona jinsi Tanganyika huru ilivyopania kubadili Katiba kwa kasi ya kutisha ili kuingia kwenye utawala wa ki-imla, kwa madai ya kusukuma mbele kwa kasi kubwa gurudumu la maendeleo. Mchakato kuelekea njia hiyo ulianza na mabadiliko ya

Uhuru wa uhariri hauna maana bila ya kuwapo uhuru wa jamii

MARA nyingi tunapozungumzia dhana ya “uhuru wa habari,” “uhuru wa vyombo vya habari,” au “uhuru wa uhariri” inakuwa rahisi kufikiri kwamba kinachozungumziwa ni uhuru wa wanahabari, kwa maana ya wahariri na waandishi wao kufanya kazi katika mazingira yanayowaachia nafasi ya kutenda bila kukwazwa pasipo na