Jumuiya za Afrika na kigugumizi cha kisiasa

Na Mwalimu S.Sombi BAADA ya mkutano wa Berlin yaani (Berlin conference) mwaka 1884-1885, pamoja na mambo mengine ajenda kuu ilikuwa kugawa bara la Afrika kwa amani, mkutano huo ulihudhuriwa na mataifa saba ya Ulaya ikiwamo taifa la Uingereza, Ufaransa, Hispania, Ureno, Ubergiji na Ujerumani. Baada

Abdou Bacar Boina (1937-2018): Mkombozi na mhubiri wa Tanzacomo

Na Ahmed Rajab MTU hawezi akauzungumzia ukombozi wa visiwa vya Comoro bila ya kutaja le Mouvement de libération nationale des Comores (Molinaco) vuguvugu la ukombozi wa visiwa hivyo na wala hawezi kuitaja Molinaco bila ya kumtaja Abdou Bacar Boina (inatamkwa “Bwana”), aliyekuwa katibu mkuu wa

No Thumbnail

Utumiaji wa isotopu za kinyuklia katika tiba: Inawezekana?

Na Joseph Mwamunyange, Mwandishi Maalumu KAMA kawaida maneno kama “nyuklia” au “mionzi” yanatisha yanapotumika katika nyanja za afya na maisha marefu. Hata hivyo, haiwezekani kufikiria tiba ya siku hizi bila ya teknolojia mpya inayotumia radioisotopu za kinyuklia. Duniani watu wanajua juu ya utumiaji wa mionzi na

Uwanja Taifa ugeuke ‘Machinjio’

ABDUL MKEYENGE KINYONGE kabisa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa wamerudi nyumbani vichwa chini. Yanga wamerudi na mtazamo huo kutoka Botswana. Simba nao wamerudi na sura hiyo wakitokea Misri. Hawana wa kumlaumu, wajilaumu wenyewe. Japo kundi kubwa la mashabiki linatokeza hadharani na kusema timu

Hongera Magufuli, TRA wamekusikia

MACHI 19, Jumatatu ya wiki hii, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli alikutana na Baraza la Wafanyabiashara Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam. Mengi yamejiri katika mkutano huo. Wafanyabiashara mbalimbali waliohudhuria mkutano husika walipata fursa ya kuzungumza kwa uhuru, pamoja na

Maajabu 10 shule za umma kufeli dhidi ya shule binafsi

Na Godfrey Chawe MUUNGWANA yeyote duniani humjali mwalimu. Muungwana hawezi kumkejeli mwalimu. Mwalimu ni jeshi linalobadili fikra. Asanteni walimu wangu kwa kuniwezesha kusoma na kuandika. Ninasoma kwa mbwembwe nyingi kwa ajili yako wewe mwalimu na tunaandika kwa kuunda herufi nzuri kwa juhudi zako wewe mwalimu.