Asilimia 80 ya Vijiji Kilimanjaro vimepata umeme

IMEELEZWA kuwa asilimia ya 80 ya vijiji katika mkoa wa Kilimajaro vimepata umeme kupitia miradi ya usambazaji umeme vijijini iliyotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani katika

Wafikishwa mahakamani kwa kula nyama za watu

WATU wanne wamefikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini wakikabiliwa na mashtaka ya kula nyama za watu baada ya mtu mmoja yao kwenda katika kituo kimoja cha polisi na kusema kuwa amechoka kula nyama za watu. Alipohojiwa zaidi, mtu huyo alitoa sehemu ya mguu wa binadamu pamoja

CCM masalia watumika Chadema

Na Waandishi Wetu KUNA taarifa kwamba mpambano wa kisiasa tayari umeanza kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na chama kikuu cha Upinzani, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Unatajwa kuwa ni mpambano wa kimkakati unaolenga kukiwezesha Chadema kupenyeza majeshi

Rais Zuma akiri kunusurika kuuawa kwa sumu

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI KATIKA hali isiyo ya kawaida Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amedai kwamba kumekuwapo na jaribio la kutaka kumuua kwa sumu kwa kumtumia mtu wake wa karibu mno. Zuma ameibua madai hayo huku uvumi unaohusisha jina la mmoja wa wake zake ukisambaa

Athari uchaguzi Kenya zaonekana DSE

Misukosuko ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Kenya wiki iliyopita, imesababisha bei ya hisa za kampuni za Kenya zilizoorodheshwa kwenye soko la Hisa la Dar es Salaam  kupungua. Hatua hii imetokea wakati tayari Rais Uhuru Kenyatta akiwa  amekwishatangazwa mshindi wa uchaguzi huo, ambao ulitabiriwa kuwa na

Magufuli kaimarisha shilingi?

NA MNAKU MBANI SHILINGI ya Tanzania imeanza kuonyesha ishara ya kuimarika baada ya ripoti ya bei kwa mwezi Julai iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuonyesha kuwa uwezo wake wa kununua bidhaa na huduma umeongezeka. Ripoti hiyo imeonyesha kwamba uwezo wa shilingi kununua

Faustine Mrema:Mwenda usiku aliyeng’arisha uchumi wa Arusha

Na Mwandishi Wetu, Arusha SIRI ya mafaniko ya mfanyabiashara bilionea wa Arusha, Faustine  Melau Mrema,  aliyefariki dunia hivi karibuni nchini Afrika ya Kusini imeelezwa kuwa ni hatua yake ya “kugeuza usiku kuwa mchana”  kufanya shughuli zake.  Mrema alifariki dunia katika hospitali ya Garden City Afrika ya

Hawa ni wanyapara au viongozi wetu?

VIONGOZI wa Serikali ya Awamu ya Tano, kwa ngazi zote, kuanzia ngazi ya kitaifa, mkoa, wilaya na hata tarafa, sasa wanahitaji kujitathmini iwe kwa umoja wao au kila mmoja katika nafasi yake. Wanahitaji kujitathmini kwa kuwa malalamiko kati yao dhidi ya wenzao, yanasikika hata kule