Mahatma na chuki binafsi

NIMEGUNDUA kuwa kuna chuki kubwa kati ya watu wetu na Waingereza. Watu wetu hawatenganishi kati ya Waingereza na Ubeberu wa Kiingereza. Kwao, yote mawili ni sawa. Chuki hii huwafanya wawe tayari hata kuukaribisha ukoloni wa Kijapani. Ni lazima tuishinde chuki hii. Mapambano yetu si dhidi ya Waingereza; bali ni dhidi ya Ubeberu wa Kiingereza. Nami katika mapambano haya sitalea kamwe chuki binafsi katika moyo wangu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *