Nyerere na CCM ovyo

CHAMA chetu (CCM) hakiwezi kuikubali tofauti hii ya pili na kikaendelea kuwa CCM, na wala kisitazamie kuwa wananchi watakikubali. Maana tukianza kuzikubali tofauti hizi haramu zinazoongezeka katika jamii yetu kuwa ni jambo la kawaida, basi amani ya taifa letu na utulivu wa kisiasa tulionao vitakuwa hatarini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *