Nyerere na kupenda utajiri

IKIWA serikali ya TANU itachukua hatua za kuzuia tofauti iliyopo sasa kati ya watu wa juu na watu wa chini, sina shaka watu wote walio juu hawatapenda. Hata mimi ninayeandika maneno haya sitapenda; kwani hata mimi napenda kuwa tajiri. Lakini kitakachotuwezesha kujenga nchi safi siyo tamaa yangu mimi kuwa tajiri; bali ni vitendo ambavyo, ingawa tunajua vitaudhi wachache, tunayo hakika kuwa ni vya manufaa kwa ndugu zetu walio wengi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *