2010

CCM sasa yawarusha roho wabunge wake

Mwandishi Wetu

WABUNGE 275 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameagizwa kuandaa taarifa za utendaji wao wa kazi kwa kipindi chao cha ubunge, hatua ambayo inatajwa kuwa ni kukiwezesha chama hicho kufanya uamuzi muaf

Mbowe kuwania ubunge

Mwandishi Wetu

MIVUTANO ya makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inatarajia kufanikisha jitihada za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhitimisha vyema mpango wake wa kuongeza idadi ya wabunge k

Dk. Slaa awataka Duni, Hamad Rashid wa CUF

Waandishi Wetu

BAADA ya mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ), Dk.

Slaa ana siri nzito, kuibukia Dodoma

Mwandishi Wetu

BAADA ya kuapishwa kwa Rais Jakaya Kikwete, kuendelea na kipindi cha pili cha urais wa Tanzania, aliyekuwa mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.

Vigogo njia panda

Mwandishi Wetu
SIKU chache tu kabla ya kuanza kwa mwaka wa mchakato wa kuelekea kilele cha Uchaguzi Mkuu, baadhi ya wabunge waliopoteza matumaini ya kurejea bungeni wameanza kusitisha harakati hizo

Mawaziri wakuu wa zamani wafuatiliwa

Mwandishi Wetu

WAKATI joto la Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu likizidi kupanda, hofu imetanda ndani ya Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusiana na nguvu walizonazo mawaziri wakuu wa zamani, na sasa wanasiasa

Dk. Slaa amnyima Kikwete usingizi

Mwandishi Wetu

MGOMBEA urais kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jakaya Kikwete amebadili mwelekeo wa kampeni zake kwa kuanza kumshambulia mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk.

Kikwete agombee tena au asigombee?

Lula wa Ndali Mwananzela
KAMA taarifa ya madaktari wa Rais ni ya kuaminiwa (ilivyo prima facie), basi  wananchi na wana CCM hawana budi kujiuliza kama Rais Kikwete atakuwa na sababu ya kugombea tena mwakani au la

Kikwete kupata mpinzani mpya

Mwandishi Wetu

KUNA uwezekano mkubwa kwamba Rais Jakaya Kikwete akapata mgombea mpya kutoka kambi ya upinzani baada ya kuwapo taarifa za wagombe waliojitokeza uchaguzi uliopita kuamua kuwania ubunge na kubadilika

Mtikisiko urais wa Kikwete

Waandishi Wetu

KAULI zinazotaka Rais Jakaya Kikwete apingwe kupitia ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani ni matokeo ya kuyumba kiutawala na visasi vya makundi pinzani nda

Pages

Subscribe to 2010